Connect with us

Ankara Styles

: : : Mishono ya Kitenge @ African styles : : :

Published

on

Vitenge ni vizuri sana mi binafsi navipenda, kwanza ni fahari ya Uafrika wangu pili unaweza kushona nguo mbalimbali iwe gauni, suruali, blazer, sketi, top nk. Katika mitindo tofauti tofauti utakayoipenda na ukapendeza. Basi hapa nimekuwawekea mishono mizuri nimeigoogle, kuanzia nguo za kuvaa ofisini, harusini, matembezi ya jioni, kanisani nk. Unaweza ukachagua unaoupenda ukampelekea fundi wako akushonee.

<. class="entry-meta">
This entry was posted in African Fashion and tagged african, kitenge, mishono, styles, ya by Natacha.

Advertisement
Advertisement
Advertisement

X

Copyright © 2018 Lifestyle.ng. powered by Identical.Media.